Msingi Wa Ndoa Imara (Afrikaans Edition)

$12.50


Brand Rev. Canon Dr. John Karanja
Merchant Amazon
Category Books
Availability In Stock
SKU B08976YXW2
Age Group ADULT
Condition NEW
Gender UNISEX
Google Product Category Media > Books
Product Type Books > Subjects > Self-Help > Relationships > Marriage

About this item

Msingi Wa Ndoa Imara (Afrikaans Edition)

Lengo la kitabu hiki ni kudhihirisha na kupendekeza jawabu kwa shida ambazo zimetajwa kuwa hali zinazozikabili ndoa kwa karne ya ishirini na moja kama vile mambandiliko asili ya familia ambayo ilipeana utaratibu wa uongozi katika familia, mila, desturi na tamaduni ya msingi wa ndoa na ubora wa familia. Mabadiliko yanayowakabili wanandoa kwa sasa yameleta mambo mazuri, lakini pia mambo mabaya. Kati ya mambo mabaya yanayotokea katika ndoa kufuatia mabadiliko ni utovu wa nidhamu kwa upande wa watoto, matukio ya vita kati ya mume na mke, matengano na hata kuvunjika kwa ndoa, mauaji kwa wanandoa na mengine mengi. Kitabu hiki kimekusudiwa kuzungumzia na kujaribu kupendekeza suluhisho kwa shida zinazokumba familia katika karne ya ishirini na moja. Utafiti uliofanywa na mwandishi ulidhihirisha kwamba kupungua katika hali ya kujitolea kwa imani ya Kikristo kumechangia kwa njia kubwa kuzorota kwa ndoa. Kitabu hiki kinaashiria mwanzo wa kujaribu kuelewa na kusisitiza umuhimu wa kuzingatia imani ya Kikristo katika maisha ya familia.

Brand Rev. Canon Dr. John Karanja
Merchant Amazon
Category Books
Availability In Stock
SKU B08976YXW2
Age Group ADULT
Condition NEW
Gender UNISEX
Google Product Category Media > Books
Product Type Books > Subjects > Self-Help > Relationships > Marriage

Compare with similar items

AWS Solutions Architect Associate: Certi...

Stop Being A Narcissist: How To Break Th...

Study Guide: This Is Your Brain on Music...

Telephone Book: A-Z index Phone bookTo k...

Price $24.99 $15.99 $11.95 $5.99
Brand Brian Pajares Juliet Monroe SuperSummary Lina Art Print
Merchant Amazon Amazon Amazon Amazon
Availability In Stock In Stock In Stock In Stock